1 Samuel 17:30 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akamgeukia mtu mwingine akamwuliza swali hilohilo; na kila alipouliza, alipata jibu lilelile.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akamgeukia mtu mwingine na kumuuliza jambo lilo hilo, nao watu wakamjibu vilevile kama mwanzo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akamgeukia ili kumwelekea mtu mwingine, akasema naye jinsi ile ile; na watu wakamjibu tena jinsi ile ile kama ya kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akamgeukia mtu mwingine akamwuliza swali hilohilo; na kila alipouliza, alipata jibu lilelile.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamgeukia mtu mwingine na kumwuliza jambo hilo hilo, nao watu wakamjibu vile vile kama mwanzo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akamgeukia mtu mwingine na kumuuliza jambo lilo hilo, nao watu wakamjibu vilevile kama mwanzo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akamgeukia ili kumwelekea mtu mwingine, akasema naye jinsi ile ile; na watu wakamjibu tena jinsi ile ile kama ya kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akamgeukia mtu mwingine akamwuliza swali hilohilo; na kila alipouliza, alipata jibu lilelile.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha akaondoka hapo pake, akaja pengine kuulizana na watu neno lilo hilo, nao wakamjibu maneno yayo hayo ya kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akamgeukia ili kumwelekea mtu mwingine, akasema naye jinsi ile ile; na watu wakamjibu tena jinsi ile ile kama ya kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akamugeukia mutu mwingine, akamwuliza neno lilelile; na kila mara alipouliza, alipata jibu lilelile.