1 Samuel 17:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu fulani ambao walimsikia Daudi alivyosema, walikwenda kumwambia Shauli. Naye Shauli akaagiza aitwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lile Daudi alilosema likasikiwa na kuelezwa kwa Sauli, naye Sauli akatuma aitwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na maneno hayo aliyosema Daudi yaliposikiwa, watu wakamweleza Sauli; naye akatuma mtu kwenda kumwita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu fulani ambao walimsikia Daudi alivyosema, walikwenda kumwambia Shauli. Naye Shauli akaagiza aitwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lile Daudi alilosema likasikiwa na kuelezwa kwa Sauli, naye Sauli akatuma aitwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lile Daudi alilosema likasikiwa na kuelezwa kwa Sauli, naye Sauli akatuma aitwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na maneno hayo aliyosema Daudi yaliposikiwa, watu wakamweleza Sauli; naye akatuma mtu kwenda kumwita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu fulani ambao walimsikia Daudi alivyosema, walikwenda kumwambia Shauli. Naye Shauli akaagiza aitwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu walipoyasikia, Dawidi aliyoyasema, wakaja kwa Sauli kumsimulia habari hizo, kisha wakamchukua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na maneno hayo aliyosema Daudi yaliposikiwa, watu wakamweleza Sauli; naye akatuma mtu kwenda kumwita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu fulani ambao walimusikia Daudi alivyosema, walikwenda kumwambia Saulo. Naye Saulo akaagiza aitwe.