1 Samuel 17:34 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akasema, “Mimi mtumishi wako nimezoea kuchunga kondoo wa baba yangu. Kila wakati simba au dubu akija na kukamata mwanakondoo
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Daudi akamwambia Sauli, “Mtumishi wako amekuwa akichunga kondoo wa baba yake. Simba au dubu alipokuja na kuchukua kondoo kutoka kundi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akamwambia Sauli, Mtumishi wako alikuwa akichunga kondoo za baba yake, na alipokuwa akija simba, au dubu, akamkamata mwana-kondoo wa lile kundi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akasema, “Mimi mtumishi wako nimezoea kuchunga kondoo wa baba yangu. Kila wakati simba au dubu akija na kukamata mwanakondoo
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Daudi akamwambia Sauli, “Mtumishi wako amekuwa akichunga kondoo za baba yake. Wakati simba au dubu alipokuja na kuchukua kondoo kutoka katika kundi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Daudi akamwambia Sauli, “Mtumishi wako amekuwa akichunga kondoo wa baba yake. Wakati simba au dubu alikuja na kuchukua kondoo kutoka kundi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akamwambia Sauli, Mtumishi wako alikuwa akichunga kondoo za baba yake, na alipokuwa akija simba, au dubu, akamkamata mwana-kondoo wa lile kundi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akasema, “Mimi mtumishi wako nimezoea kuchunga kondoo wa baba yangu. Kila wakati simba au dubu akija na kukamata mwanakondoo
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akamwambia Sauli: Mtoto wako alipokuwa anachunga kondoo wa baba yake, basi, simba au chui walipokuja kukamata kondoo kundini,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akamwambia Sauli, Mtumishi wako alikuwa akichunga kondoo za baba yake, na alipokuwa akija simba, au dubu, akamkamata mwana-kondoo wa lile kundi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akasema: “Mimi mutumishi wako nimezoea kuchunga kondoo wa baba yangu. Kila wakati simba au dubu akikuja na kukamata mwana-kondoo