1 Samuel 17:35 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mimi humfuata na kumshambulia, nikamwokoa mwanakondoo kinywani mwake. Kama simba au dubu akinishambulia, mimi humshika ndevu zake, nikamwangusha na kumuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nilifuatia, nikampiga na nikampokonya kondoo kwenye kinywa chake. Aliponigeukia, nilimkamata nywele zake, nikampiga na kumuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
mimi hutoka nikamfuata, nikampiga, nikampokonya kinywani mwake; na akinirukia, humshika ndevu zake, nikampiga, nikamwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mimi humfuata na kumshambulia, nikamwokoa mwanakondoo kinywani mwake. Kama simba au dubu akinishambulia, mimi humshika ndevu zake, nikamwangusha na kumuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nilifuatia, nikampiga na nikampokonya kondoo kwenye kinywa chake. Aliponigeukia, nilimkamata nywele zake, nikampiga na kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nilifuatia, nikampiga na nikampokonya kondoo kwenye kinywa chake. Aliponigeukia, nilimkamata nywele zake, nikampiga na kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
mimi hutoka nikamfuata, nikampiga, nikampokonya kinywani mwake; na akinirukia, humshika ndevu zake, nikampiga, nikamwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mimi humfuata na kumshambulia, nikamwokoa mwanakondoo kinywani mwake. Kama simba au dubu akinishambulia, mimi humshika ndevu zake, nikamwangusha na kumuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nikatoka kuwafuata, nikawapiga, nikawaopoa vinywani mwao; kama aliniinukia, nikamkamata ndevu zake, nikampiga, hata nikamwua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
mimi hutoka nikamfuata, nikampiga, nikampokonya kinywani mwake; na akinirukia, humshika ndevu zake, nikampiga, nikamwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mimi ninamufuata na kumushambulia, nikimwokoa mwana-kondoo toka katika kinywa chake. Kama simba au dubu akinishambulia, mimi ninamushika ndevu zake, nikimwangusha na kumwua.