1 Samuel 17:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli akamvisha Daudi mavazi yake ya kivita, akamvika kofia yake ya shaba kichwani na koti lake la kujikinga kifua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Sauli akamvika Daudi silaha zake mwenyewe za vita. Akamvika dirii na chapeo ya shaba kichwani mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sauli akamvika Daudi mavazi yake ya vita, akamtia chapeo cha shaba kichwani, akamvika dirii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli akamvisha Daudi mavazi yake ya kivita, akamvika kofia yake ya shaba kichwani na koti lake la kujikinga kifua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Sauli akamvika Daudi silaha zake mwenyewe za vita. Akamvika dirii na chapeo ya shaba kichwani mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Sauli akamvika Daudi silaha zake mwenyewe za vita. Akamvika dirii na chapeo ya shaba kichwani mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sauli akamvika Daudi mavazi yake ya vita, akamtia chapeo cha shaba kichwani, akamvika dirii.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli akamvisha Daudi mavazi yake ya kivita, akamvika kofia yake ya shaba kichwani na koti lake la kujikinga kifua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akamvika Dawidi mavazi yake ya vitani, kichwani pake akamtia kofia ya shaba, akamvika hata fulana ya chuma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sauli akamvika Daudi mavazi yake ya vita, akamtia chapeo cha shaba kichwani, akamvika dirii.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo akamuvalisha Daudi nguo zake za kivita, akamuvalisha kofia yake ya shaba juu ya kichwa na koti lake la kifua.