1 Samuel 17:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kutoka kwenye kambi ya Wafilisti, alijitokeza shujaa mmoja aitwaye Goliathi, mwenyeji wa mji wa Gathi. Urefu wake ulikaribia mita tatu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shujaa aliyeitwa Goliathi, aliyetoka Gathi, akajitokeza kutoka kambi ya Wafilisti. Alikuwa na urefu dhiraa sita na shibiri moja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo akatoka shujaa katika kambi ya Wafilisti, aliyeitwa Goliathi, wa Gathi, ambaye urefu wake ulikuwa mikono sita na shibiri moja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kutoka kwenye kambi ya Wafilisti, alijitokeza shujaa mmoja aitwaye Goliathi, mwenyeji wa mji wa Gathi. Urefu wake ulikaribia mita tatu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shujaa aliyeitwa Goliathi, aliyetoka Gathi, akajitokeza kutoka katika kambi ya Wafilisti. Alikuwa na urefu dhiraa sita na shibiri moja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shujaa aliyeitwa Goliathi, aliyetoka Gathi, akajitokeza kutoka kambi ya Wafilisti. Alikuwa na urefu dhiraa sita na shibiri moja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo akatoka shujaa katika kambi ya Wafilisti, aliyeitwa Goliathi, wa Gathi, ambaye urefu wake ulikuwa mikono sita na shibiri moja.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kutoka kwenye kambi ya Wafilisti, alijitokeza shujaa mmoja aitwaye Goliathi, mwenyeji wa mji wa Gathi. Urefu wake ulikaribia mita tatu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Katika makambi ya Wafilisti kukatokea jitu, jina lake Goliati wa Gati, urefu wake ulikuwa mikono sita na nusu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo akatoka shujaa katika kambi ya Wafilisti, aliyeitwa Goliathi, wa Gathi, ambaye urefu wake ulikuwa mikono sita na shibiri moja.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutoka kwenye kambi ya Wafilistini, shujaa mumoja anayeitwa Goliati, wa muji wa Gati, alijitokeza. Urefu wake ulikuwa metre tatu.