1 Samuel 17:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule Mfilisti, naye akaanza kumwendea Daudi, na yule aliyemchukulia ngao yake akiwa mbele yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ule ule, yule Mfilisti, akiwa na mbeba ngao wake mbele yake, akaendelea kujongea karibu na Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo Mfilisti naye akamsogelea Daudi na kumkaribia; na mtu yule aliyemchukulia ngao yake akamtangulia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule Mfilisti, naye akaanza kumwendea Daudi, na yule aliyemchukulia ngao yake akiwa mbele yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ule ule, yule Mfilisti, akiwa na mbeba ngao wake mbele yake, akaendelea kujongea karibu na Daudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati ule ule, yule Mfilisti, akiwa na mbeba ngao wake mbele yake, akaendelea kujongea karibu na Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo Mfilisti naye akamsogelea Daudi na kumkaribia; na mtu yule aliyemchukulia ngao yake akamtangulia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule Mfilisti, naye akaanza kumwendea Daudi, na yule aliyemchukulia ngao yake akiwa mbele yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule Mfilisti naye akaja kumfikia Dawidi karibu, naye mchukua ngao akamtangulia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Mfilisti naye akamsogelea Daudi na kumkaribia; na mtu yule aliyemchukulia ngao yake akamtangulia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule Mufilistini, naye akaanza kumwendea Daudi, na yule aliyemubebea ngao yake akiwa mbele yake.