1 Samuel 17:44 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mfilisti akamwambia Daudi, “Njoo kwangu! Mwili wako nitawapa ndege wa angani na wanyama wa porini!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tena Mfilisti akamwambia, “Njoo hapa, nami nitawapa ndege wa angani na wanyama wa mwituni nyama yako.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mfilisti akamwambia Daudi, Njoo huku kwangu; nyama yako nitawapa ndege wa angani na wanyama wa mwituni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mfilisti akamwambia Daudi, “Njoo kwangu! Mwili wako nitawapa ndege wa angani na wanyama wa porini!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akamwambia, “Njoo hapa, nami nitawapa ndege wa angani na wanyama wa mwituni nyama yako.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tena Mfilisti akamwambia, “Njoo hapa, nami nitawapa ndege wa angani na wanyama wa mwituni nyama yako.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mfilisti akamwambia Daudi, Njoo huku kwangu; nyama yako nitawapa ndege wa angani na wanyama wa mwituni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mfilisti akamwambia Daudi, “Njoo kwangu! Mwili wako nitawapa ndege wa angani na wanyama wa porini!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mfilisti akamwambia Dawidi: Njoo kwangu! Nyama za mwili wako nitawapa ndege wa angani na nyama wa porini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mfilisti akamwambia Daudi, Njoo huku kwangu; nyama yako nitawapa ndege wa angani na wanyama wa mwituni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mufilistini akamwambia Daudi: “Kuja kwangu! Mwili wako nitawapa ndege na nyama wa pori!”