1 Samuel 17:47 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote waliokusanyika hapa leo, watajua kuwa Mwenyezi-Mungu hahitaji mikuki wala sime kuwaokoa watu. Hii ni vita ya Mwenyezi-Mungu, naye atawatia nyinyi nyote mikononi mwetu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wote waliokusanyika hapa watajua kuwa Mwenyezi Mungu haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; kwa kuwa vita ni vya Mwenyezi Mungu, naye atawatia ninyi wote mikononi mwetu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao jamii ya watu wote pia wajue ya kwamba Bwana haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; maana vita ni vya Bwana, naye atawatia ninyi mikononi mwetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote waliokusanyika hapa leo, watajua kuwa Mwenyezi-Mungu hahitaji mikuki wala sime kuwaokoa watu. Hii ni vita ya Mwenyezi-Mungu, naye atawatia nyinyi nyote mikononi mwetu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale wote waliokusanyika hapa watajua kuwa BWANA haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; kwa kuwa vita ni vya BWANA, naye atawatia wote mikononi mwetu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale wote waliokusanyika hapa watajua kuwa bwana haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; kwa kuwa vita ni vya bwana, naye atawatia wote mikononi mwetu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao jamii ya watu wote pia wajue ya kwamba BWANA haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; maana vita ni vya BWANA, naye atawatia ninyi mikononi mwetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote waliokusanyika hapa leo, watajua kuwa Mwenyezi-Mungu hahitaji mikuki wala sime kuwaokoa watu. Hii ni vita ya Mwenyezi-Mungu, naye atawatia nyinyi nyote mikononi mwetu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wote wa mkutano huu watajua, ya kuwa Bwana haokoi kwa nguvu za upanga wala za mkuki, kwani vita hivi ni vyake Bwana, naye amewatia mikononi mwetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao jamii ya watu wote pia wajue ya kwamba BWANA haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; maana vita ni vya BWANA, naye atawatia ninyi mikononi mwetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wote waliokusanyika hapa leo, watajua kwamba Yawe hahitaji mikuki kwa kuwaokoa watu. Hii ni vita ya Yawe, naye atawatia ninyi wote katika mikono yetu.”