1 Samuel 17:48 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Goliathi akaanza tena kumwendea Daudi. Daudi akakimbia mbio kwenda kwenye mstari wa mapambano.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yule Mfilisti aliposogea karibu ili kumshambulia, Daudi akaenda mbio kuelekea safu ya vita kukutana naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa, hapo Mfilisti alipojiinua, akaenda akamkaribia Daudi, ndipo Daudi naye akapiga mbio, akalikimbilia jeshi ili akutane na yule Mfilisti.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Goliathi akaanza tena kumwendea Daudi. Daudi akakimbia mbio kwenda kwenye mstari wa mapambano.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yule Mfilisti aliposogea karibu ili kumshambulia, Daudi akaenda mbio kuelekea safu ya vita kukutana naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yule Mfilisti aliposogea karibu ili kumshambulia, Daudi akaenda mbio kuelekea safu ya vita kukutana naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa, hapo Mfilisti alipojiinua, akaenda akamkaribia Daudi, ndipo Daudi naye akapiga mbio, akalikimbilia jeshi ili akutane na yule Mfilisti.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Goliathi akaanza tena kumwendea Daudi. Daudi akakimbia mbio kwenda kwenye mstari wa mapambano.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, yule Mfilisti alipoinuka, aje kumfikia Dawidi karibu, Dawidi naye akapiga mbio, afike upesi hapo, walipojipanga, akutane na yule Mfilisti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa, hapo Mfilisti alipojiinua, akaenda akamkaribia Daudi, ndipo Daudi naye akapiga mbio, akalikimbilia jeshi ili akutane na yule Mfilisti.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Goliati akaanza tena kumwendea Daudi. Daudi akakimbia mbio kwenda kwenye mustari wa mapambano.