1 Samuel 17:49 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akatia mkono wake mfukoni mwake, akatoa jiwe moja, akalirusha kwa kombeo lake, akampiga nalo Goliathi kwenye paji la uso wake, jiwe likalipasua paji la Goliathi na kupenya ndani. Goliathi akaanguka chini kifudifudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akatia mkono wake mfukoni na kuchukua jiwe, akalirusha kwa kombeo, nalo likampiga yule Mfilisti kwenye paji la uso. Lile jiwe likaingia kipajini mwa uso, akaanguka kifudifudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Daudi akatia mkono wake mfukoni, akatwaa humo jiwe moja, akalitupa kwa kombeo lake, akampiga Mfilisti katika kipaji cha uso; jiwe hilo likamwingilia kipajini, akaanguka chini kifudifudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akatia mkono wake mfukoni mwake, akatoa jiwe moja, akalirusha kwa kombeo lake, akampiga nalo Goliathi kwenye paji la uso wake, jiwe likalipasua paji la Goliathi na kupenya ndani. Goliathi akaanguka chini kifudifudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akatia mkono wake mfukoni na kuchukua jiwe, akalirusha kwa kombeo, nalo likampiga yule Mfilisti kwenye paji la uso. Lile jiwe likaingia kipajini mwa uso, akaanguka chini kifudifudi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akatia mkono wake mfukoni na kuchukua jiwe, akalirusha kwa kombeo, nalo likampiga yule Mfilisti kwenye paji la uso. Lile jiwe likaingia kipajini mwa uso, akaanguka chini kifudifudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Daudi akatia mkono wake mfukoni, akatwaa humo jiwe moja, akalitupa kwa kombeo lake, akampiga Mfilisti katika kipaji cha uso; jiwe hilo likamwingia kipajini, akaanguka chini kifudifudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akatia mkono wake mfukoni mwake, akatoa jiwe moja, akalirusha kwa kombeo lake, akampiga nalo Goliathi kwenye paji la uso wake, jiwe likalipasua paji la Goliathi na kupenya ndani. Goliathi akaanguka chini kifudifudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akautia mkono wake upesi mkobani, akatoa humo kijiwe, akakitupa kwa kombeo, akampiga yule Mfilisti pajini, nacho kijiwe kikaingia pajini ndani; ndipo, alipoanguka kifudifudi hapo chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Daudi akatia mkono wake mfukoni, akatwaa humo jiwe moja, akalitupa kwa kombeo lake, akampiga Mfilisti katika kipaji cha uso; jiwe hilo likamwingilia kipajini, akaanguka chini kifudifudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akatia mukono wake ndani ya mufuko wake, akatoa jiwe moja, akalirusha kwa mujeledi wake, akamupiga nalo Goliati kwenye paji la uso wake, jiwe likalipasua paji la Goliati na kupenya ndani. Goliati akaanguka uso mpaka chini.