1 Samuel 17:53 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli walipotoka kuwafuatilia Wafilisti, waliteka nyara kambi yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli waliporudi kutoka kuwafukuza Wafilisti, waliteka nyara kutoka kambi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha wana wa Israeli wakarudi kutoka katika kuwafukuza Wafilisti, wakateka nyara marago yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli walipotoka kuwafuatilia Wafilisti, waliteka nyara kambi yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli waliporudi kutoka kuwafukuza Wafilisti wakateka nyara kambi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli waliporudi kutoka kuwafukuza Wafilisti, waliteka nyara kutoka kambi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha wana wa Israeli wakarudi kutoka katika kuwafukuza Wafilisti, wakateka nyara kambi yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli walipotoka kuwafuatilia Wafilisti, waliteka nyara kambi yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wana wa Isiraeli wakarudi walipokwisha kuwafukuza sana Wafilisti, wakayateka yaliyokuwapo makambini mwao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha wana wa Israeli wakarudi kutoka katika kuwafukuza Wafilisti, wakateka nyara marago yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli walipotoka kuwafuatilia Wafilistini, waliteka vitu ndani ya kambi yao.