1 Samuel 17:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miguu yake pia ilikuwa na kinga ya shaba na mabegani pake alibeba mkuki wa shaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miguuni mwake alivaa mabamba ya shaba, na alikuwa na mkuki wa shaba mgongoni mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena amevaa mabamba ya shaba miguuni mwake, naye alikuwa na mkuki wa shaba kati ya mabega; yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miguu yake pia ilikuwa na kinga ya shaba na mabegani pake alibeba mkuki wa shaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miguuni mwake alivaa mabamba ya shaba, na alikuwa na mkuki wa shaba mgongoni mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miguuni mwake alivaa mabamba ya shaba, na alikuwa na mkuki wa shaba mgongoni mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena amevaa mabamba ya shaba miguuni mwake, naye alikuwa na mkuki wa shaba kati ya mabega yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miguu yake pia ilikuwa na kinga ya shaba na mabegani pake alibeba mkuki wa shaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miguuni alikuwa amevaa shaba vilevile penye miundi, namo mabegani kikingio cha shaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena amevaa mabamba ya shaba miguuni mwake, naye alikuwa na mkuki wa shaba kati ya mabega; yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miguu yake vilevile ilikuwa na vikingio vya shaba na kwenye mabega yake alibeba mukuki wa shaba.