1 Samuel 17:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akinishinda na kuniua, sisi tutakuwa watumwa wenu. Lakini nikimshinda na kumuua basi, nyinyi mtakuwa watumwa wetu na kututumikia.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama anaweza kupigana nami na kuniua, tutakuwa chini yenu; lakini nikimshinda na kumuua, ninyi mtakuwa chini yetu, na mtatutumikia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama akiweza kupigana nami na kuniua, sisi tutakuwa watumwa wenu; nami nikimshinda yeye na kumwua, ninyi mtakuwa watumwa wetu, na kututumikia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akinishinda na kuniua, sisi tutakuwa watumwa wenu. Lakini nikimshinda na kumuua basi, nyinyi mtakuwa watumwa wetu na kututumikia.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama anaweza kupigana nami na kuniua, tutakuwa chini yenu; lakini kama nikimshinda na kumwua, ninyi mtakuwa chini yetu na mtatutumikia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama anaweza kupigana nami na kuniua, tutakuwa chini yenu; lakini kama nikimshinda na kumuua, ninyi mtakuwa chini yetu na mtatutumikia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama akiweza kupigana nami na kuniua, sisi tutakuwa watumwa wenu; nami nikimshinda na kumwua, ninyi mtakuwa watumwa wetu, na kututumikia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akinishinda na kuniua, sisi tutakuwa watumwa wenu. Lakini nikimshinda na kumuua basi, nyinyi mtakuwa watumwa wetu na kututumikia.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akiweza kupigana na mimi na kunishinda, basi, tutakuwa watumwa wenu; lakini mimi nikimweza na kumshinda, ninyi mtakuwa watumwa wetu, mtutumikie.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama akiweza kupigana nami na kuniua, sisi tutakuwa watumwa wenu; nami nikimshinda yeye na kumwua, ninyi mtakuwa watumwa wetu, na kututumikia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akinishinda na kuniua, sisi tutakuwa watumwa wenu. Lakini nikimushinda na kumwua basi, ninyi mutakuwa watumwa wetu na kututumikia.”