1 Samuel 18:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
basi, alimtupia Daudi mkuki mara mbili kwani alifikiri, “Nitambana Daudi ukutani.” Lakini Daudi alikwepa mara zote mbili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
akautupa kwa nguvu, akijiambia mwenyewe, “Nitamchoma kwa mkuki abaki hapo ukutani.” Lakini Daudi akamkwepa mara mbili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mara Sauli akautupa ule mkuki; maana alisema, Nitampiga Daudi hata ukutani. Daudi akaepa, akatoka mbele yake, mara mbili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
basi, alimtupia Daudi mkuki mara mbili kwani alifikiri, “Nitambana Daudi ukutani.” Lakini Daudi alikwepa mara zote mbili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akautupa kwa nguvu, akijisemea mwenyewe, “Nitamchoma kwa mkuki abaki hapo ukutani.” Lakini Daudi akamwepa mara mbili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akautupa kwa nguvu, akijiambia mwenyewe, “Nitamchoma kwa mkuki abaki hapo ukutani.” Lakini Daudi akamkwepa mara mbili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mara Sauli akautupa ule mkuki; maana alisema, Nitampiga Daudi hadi ukutani. Daudi akaepa, mara mbili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
basi, alimtupia Daudi mkuki mara mbili kwani alifikiri, “Nitambana Daudi ukutani.” Lakini Daudi alikwepa mara zote mbili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara Sauli akautupa mkuki akisema: Na nimchome Dawidi ukutani! Lakini Dawidi akajiepusha mbele yake mara mbili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mara Sauli akautupa ule mkuki; maana alisema, Nitampiga Daudi hata ukutani. Daudi akaepa, akatoka mbele yake, mara mbili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, alimutupia Daudi mukuki mara mbili maana alifikiri: “Nitamubanisha Daudi kwenye ukuta.” Lakini Daudi aliepa mara zote mbili.