1 Samuel 18:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alikuwa anamwogopa Daudi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwacha Shauli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Daudi, lakini alikuwa amemwacha yeye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu Bwana alikuwa pamoja naye, ila amemwacha Sauli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alikuwa anamwogopa Daudi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwacha Shauli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu BWANA alikuwa pamoja na Daudi, lakini alikuwa amemwacha yeye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu bwana alikuwa pamoja na Daudi, lakini alikuwa amemwacha yeye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu BWANA alikuwa pamoja naye, ila amemwacha Sauli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alikuwa anamwogopa Daudi kwa kuwa Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye, lakini Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwacha Shauli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akamwogopa Dawidi, kwa kuwa Bwana alikuwa naye, nako kwake Sauli alikuwa ameondoka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauli akamwogopa Daudi, kwa sababu BWANA alikuwa pamoja naye, ila amemwacha Sauli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo alikuwa anamwogopa Daudi kwa sababu Yawe alikuwa pamoja naye, lakini Yawe alikuwa amemwacha Saulo.