1 Samuel 18:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi alifanikiwa katika kila kitu alichofanya, kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika kila kitu alichofanya, Daudi alipata mafanikio makubwa, kwa sababu Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Daudi akatenda kwa busara katika njia zake zote naye Bwana alikuwa pamoja naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi alifanikiwa katika kila kitu alichofanya, kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika kila kitu alichofanya alipata mafanikio makubwa, kwa sababu BWANA alikuwa pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika kila kitu alichofanya, Daudi alipata mafanikio makubwa, kwa sababu bwana alikuwa pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Daudi akatenda kwa busara katika njia zake zote naye BWANA alikuwa pamoja naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi alifanikiwa katika kila kitu alichofanya, kwani Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Dawidi akazifuata kwa werevu njia zote, alizozishika, kwani Bwana alikuwa naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Daudi akatenda kwa busara katika njia zake zote naye BWANA alikuwa pamoja naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi alifanikiwa katika kila kitu alichofanya, maana Yawe alikuwa pamoja naye.