1 Samuel 18:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi, kwani aliwaongoza vizuri vitani na kuwarudisha kwa mafanikio.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Israeli wote na Yuda walimpenda Daudi, kwa sababu ndiye alikuwa akiwaongoza katika vita vyao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Israeli wote na Yuda wakampenda Daudi; kwa kuwa alitoka na kuingia mbele yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi, kwani aliwaongoza vizuri vitani na kuwarudisha kwa mafanikio.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Israeli wote na Yuda walimpenda Daudi, kwa sababu ndiye aliyekuwa akitoka na kuingia mbele yao katika vita vyao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Israeli wote na Yuda walimpenda Daudi, kwa sababu ndiye alikuwa akiwaongoza katika vita vyao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Israeli wote na Yuda wakampenda Daudi; kwa kuwa aliwaongoza wakienda na kurudi vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watu wote wa Israeli na Yuda walimpenda Daudi, kwani aliwaongoza vizuri vitani na kuwarudisha kwa mafanikio.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao Waisiraeli na Wayuda wote wakampenda Dawidi, kwani alikuwa akiwatangulia kwenda na kurudi vitani
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Israeli wote na Yuda wakampenda Daudi; kwa kuwa alitoka na kuingia mbele yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watu wote wa Israeli na Yuda walimupenda Daudi, maana ndiye aliwaongoza vizuri katika vita na kuwarudisha na mafanikio.