1 Samuel 18:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi nyumbani kwake, asimruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuanzia siku ile Sauli akamchukua Daudi naye hakumruhusu kurudi nyumbani mwa baba yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauli akamtwaa siku ile, wala hakumwacha arudi tena nyumbani kwa baba yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi nyumbani kwake, asimruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuanzia siku ile Sauli akamchukua Daudi naye hakumruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuanzia siku ile Sauli akamchukua Daudi naye hakumruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauli akamtwaa siku ile, wala hakumwacha arudi tena nyumbani kwa baba yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tangu siku hiyo, Shauli akamchukua Daudi nyumbani kwake, asimruhusu kurudi nyumbani kwa baba yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Sauli akamchukua Dawidi siku hiyo, hakumpa ruhusa tena kurudi nyumbani mwa baba yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauli akamtwaa siku ile, wala hakumwacha arudi tena nyumbani kwa baba yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tangu siku ile, Saulo akamutwaa Daudi katika nyumba yake, hakumuruhusu kurudi kwenye nyumba ya baba yake.