1 Samuel 18:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hata hivyo, Mikali binti mwingine wa Shauli alimpenda Daudi. Shauli alipoambiwa alifurahi sana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Mikali binti Sauli alimpenda Daudi, nao walipomwambia Sauli kuhusu jambo hili, likampendeza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Walakini Mikali, binti Sauli, alimpenda Daudi; watu wakamwambia Sauli, na neno hilo likampendeza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hata hivyo, Mikali binti mwingine wa Shauli alimpenda Daudi. Shauli alipoambiwa alifurahi sana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Mikali binti Sauli alimpenda Daudi, nao walipomwambia Sauli juu ya jambo hili, likampendeza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Mikali binti Sauli alimpenda Daudi, nao walipomwambia Sauli juu ya jambo hili, likampendeza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Walakini Mikali, binti Sauli, alimpenda Daudi; watu wakamwambia Sauli, na neno hilo likampendeza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hata hivyo, Mikali binti mwingine wa Shauli alimpenda Daudi. Shauli alipoambiwa alifurahi sana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mikali, binti Sauli, akampenda Dawidi; walipomsimulia Sauli, jambo hili likampendeza machoni pake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Walakini Mikali, binti Sauli, alimpenda Daudi; watu wakamwambia Sauli, na neno hilo likampendeza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hata hivyo, Mikali binti mwingine wa Saulo alimupenda Daudi. Saulo alipoambiwa habari ile alifurahi sana.