1 Samuel 18:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watumishi walimweleza Shauli kama Daudi alivyosema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watumishi wa Sauli walipomweleza vile Daudi alivyosema,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao watumishi wa Sauli wakampasha habari, wakisema, Ndivyo hivyo alivyosema Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watumishi walimweleza Shauli kama Daudi alivyosema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watumishi wa Sauli walipomweleza yale Daudi aliyoyasema,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watumishi wa Sauli walipomweleza yale Daudi aliyoyasema,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao watumishi wa Sauli wakampasha habari, wakisema, Ndivyo hivyo alivyosema Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watumishi walimweleza Shauli kama Daudi alivyosema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha watumishi wa Sauli wakampasha habari za kwamba: Maneno kama hayo ndiyo, Dawidi aliyoyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao watumishi wa Sauli wakampasha habari, wakisema, Ndivyo hivyo alivyosema Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale watumishi walimwelezea Saulo kama vile Daudi alivyosema.