1 Samuel 18:28 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Shauli alipoona wazi kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Daudi, na kuwa Mikali binti yake alimpenda mno Daudi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli alipotambua kuwa Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Daudi na kwamba Mikali binti yake anampenda Daudi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauli akaona na kutambua ya kwamba Bwana alikuwa pamoja na Daudi; na huyo Mikali, binti Sauli, akampenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Shauli alipoona wazi kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Daudi, na kuwa Mikali binti yake alimpenda mno Daudi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli alipotambua kuwa BWANA alikuwa pamoja na Daudi na kwamba Mikali binti yake anampenda Daudi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli alipotambua kuwa bwana alikuwa pamoja na Daudi na kwamba Mikali binti yake anampenda Daudi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauli akaona na kutambua ya kwamba BWANA alikuwa pamoja na Daudi; na huyo Mikali, binti Sauli, akampenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Shauli alipoona wazi kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Daudi, na kuwa Mikali binti yake alimpenda mno Daudi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akayaona, akayajua, ya kuwa Bwana yuko pamoja na Dawidi; naye Mikali, binti Sauli, akampenda.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauli akaona na kutambua ya kwamba BWANA alikuwa pamoja na Daudi; na huyo Mikali, binti Sauli, akampenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Saulo alipoona wazi kwamba Yawe alikuwa pamoja na Daudi, na kwamba Mikali binti yake alimupenda sana Daudi,