1 Samuel 19:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alimweleza mwanawe Yonathani na maofisa wake juu ya mpango wake wa kumwua Daudi. Lakini Yonathani, mwanawe Shauli, alimpenda sana Daudi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akamwambia mwanawe Yonathani na watumishi wake wote wamuue Daudi. Lakini Yonathani mwana wa Sauli alimpenda sana Daudi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Sauli akasema na mwanawe Yonathani, tena na watumishi wake wote, kwamba wamwue Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alimweleza mwanawe Yonathani na maofisa wake juu ya mpango wake wa kumwua Daudi. Lakini Yonathani, mwanawe Shauli, alimpenda sana Daudi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akamwambia mwanawe Yonathani na watumishi wake wote wamwue Daudi. Lakini Yonathani mwana wa Sauli alimpenda sana Daudi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akamwambia mwanawe Yonathani na watumishi wake wote wamuue Daudi. Lakini Yonathani mwana wa Sauli alimpenda sana Daudi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Sauli akasema na mwanawe Yonathani, tena na watumishi wake wote, kwamba wamwue Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alimweleza mwanawe Yonathani na maofisa wake juu ya mpango wake wa kumwua Daudi. Lakini Yonathani, mwanawe Shauli, alimpenda sana Daudi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akala njama na mwanawe Yonatani na watumishi wake wote ya kumwua Dawidi. Lakini Yonatani, mwana wa Sauli, alikuwa amependezwa sana na Dawidi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Sauli akasema na mwanawe Yonathani, tena na watumishi wake wote, kwamba wamwue Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo alimwelezea mwana wake Yonatani na wakubwa wake juu ya mupango wake wa kumwua Daudi. Lakini Yonatani, mwana wa Saulo, alimupenda sana Daudi.