1 Samuel 19:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, naye akatoka na kutoroka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, naye akakimbia na kuokoka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Mikali akamtelemsha Daudi dirishani; naye akaenda akakimbia na kuokoka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, naye akatoka na kutoroka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Mikali akamtelemsha Daudi kupitia dirishani, naye akakimbia na kuokoka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, naye akakimbia na kuokoka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Mikali akamteremsha Daudi dirishani; naye akaenda akakimbia na kuokoka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo Mikali akamteremsha Daudi kupitia dirishani, naye akatoka na kutoroka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mikali akamshusha Dawidi dirishani, akaenda zake na kukimbia; ndivyo, alivyopona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Mikali akamtelemsha Daudi dirishani; naye akaenda akakimbia na kuokoka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo Mikali akamutelemusha Daudi kupitia katika dirisha, naye akatoka na kutoroka.