1 Samuel 19:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alipotuma watu kumshika Daudi, Mikali akawaambia kuwa Daudi ni mgonjwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli alipotuma watu kumkamata Daudi, Mikali akasema, “Yeye ni mgonjwa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Sauli alipotuma wajumbe ili kumkamata Daudi, yeye alisema, Hawezi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alipotuma watu kumshika Daudi, Mikali akawaambia kuwa Daudi ni mgonjwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli alipotuma watu kumkamata Daudi, Mikali akasema, “Yeye ni mgonjwa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli alipotuma watu kumkamata Daudi, Mikali akasema, “Yeye ni mgonjwa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Sauli alipotuma wajumbe ili kumkamata Daudi, yeye alisema, Mgonjwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alipotuma watu kumshika Daudi, Mikali akawaambia kuwa Daudi ni mgonjwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli alipotuma wajumbe kumchukua Dawidi, akawaambia: Ni mgonjwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Sauli alipotuma wajumbe ili kumkamata Daudi, yeye alisema, Hawezi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo alipotuma watu kwa kumukamata Daudi, Mikali akawaambia kwamba Daudi ni mugonjwa.