1 Samuel 19:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Shauli aliwatuma warudi huko tena, akawaagiza akisema, “Mlete kwangu Daudi hata akiwa kitandani ili auawe.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Sauli akatuma watu tena kumwona Daudi naye akawaambia, “Mleteni kwangu juu ya kitanda chake ili nipate kumuua.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sauli akawatuma hao wajumbe ili wamtazame Daudi, akisema, Mleteni kwangu juu ya kitanda chake, nipate kumwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Shauli aliwatuma warudi huko tena, akawaagiza akisema, “Mlete kwangu Daudi hata akiwa kitandani ili auawe.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Sauli akatuma watu tena kumwona Daudi naye akawaambia, “Mleteni kwangu juu ya kitanda chake ili nipate kumwua.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Sauli akatuma watu tena kumwona Daudi naye akawaambia, “Mleteni kwangu juu ya kitanda chake ili nipate kumuua.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sauli akawatuma hao wajumbe ili wamtazame Daudi, akisema, Mleteni kwangu juu ya kitanda chake, nipate kumwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Shauli aliwatuma warudi huko tena, akawaagiza akisema, “Mlete kwangu Daudi hata akiwa kitandani ili auawe.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akawatuma wale wajumbe tena kumtazama Dawidi akiwaambia: Mleteni kwangu, akilala kitandani, nipate kumwua!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sauli akawatuma hao wajumbe ili wamtazame Daudi, akisema, Mleteni kwangu juu ya kitanda chake, nipate kumwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Saulo akawatuma warudie kule tena, akawaagiza akisema: “Mumulete Daudi kwangu hata akiwa katika kitanda kusudi auawe.”