1 Samuel 19:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale watu walipoingia nyumbani kwa Daudi na kukiangalia kitanda waliona kuna kinyago na mto wa manyoya ya mbuzi kichwani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wale watu walipoingia, kumbe ni kinyago tu kilichokuwa kitandani, na kwenye kichwa kulikuwa na singa za mbuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wajumbe walipoingia, kumbe! Kuna kinyago kitandani, na mto wa singa za mbuzi kichwani pake!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale watu walipoingia nyumbani kwa Daudi na kukiangalia kitanda waliona kuna kinyago na mto wa manyoya ya mbuzi kichwani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wale watu walipoingia, kumbe ni kinyago tu kilichokuwa kitandani na kwenye kichwa kulikuwepo na singa za mbuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wale watu walipoingia, kumbe ni kinyago tu kilichokuwa kitandani na kwenye kichwa kulikuwepo na singa za mbuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wajumbe walipoingia, kumbe! Kuna kinyago kitandani, na mto wa singa za mbuzi kichwani pake!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale watu walipoingia nyumbani kwa Daudi na kukiangalia kitanda waliona kuna kinyago na mto wa manyoya ya mbuzi kichwani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wajumbe walipoingia nyumbani wakakiona kile kinyago, kimelala kitandani, nao mto wa manyoya ya mbuzi uko kichwani pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wajumbe walipoingia, kumbe! Kuna kinyago kitandani, na mto wa singa za mbuzi kichwani pake!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale watu walipoingia ndani ya nyumba ya Daudi na kukiangalia kitanda, waliona kuna sanamu na kiegemeo cha manyoya ya mbuzi kwenye kichwa.