1 Samuel 19:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Naye Shauli akaenda huko Nayothi katika Rama. Alipofika huko, roho ya Mungu ilimjia, naye alianza kutabiri akiwa njiani mpaka alipofika Nayothi katika Rama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo Sauli akaenda Nayothi huko Rama. Lakini Roho wa Mungu akaja juu yake hata yeye, akawa anatembea huku anatoa unabii hadi akafika Nayothi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi akaenda Nayothi huko Rama, na roho ya Mungu ikamjilia yeye naye, akaendelea mbele, huku anatabiri, mpaka kufika Nayothi huko Rama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Naye Shauli akaenda huko Nayothi katika Rama. Alipofika huko, roho ya Mungu ilimjia, naye alianza kutabiri akiwa njiani mpaka alipofika Nayothi katika Rama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo Sauli akaenda Nayothi huko Rama. Lakini Roho wa Mungu akaja juu yake hata yeye, akawa anatembea huku anatoa unabii hadi akafika Nayothi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo Sauli akaenda Nayothi huko Rama. Lakini Roho wa Mwenyezi Mungu akaja juu yake hata yeye, akawa anatembea huku anatoa unabii hadi akafika Nayothi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi akaenda Nayothi huko Rama, na Roho ya Mungu ikamjia yeye naye, akaendelea mbele, huku anatabiri, mpaka kufika Nayothi huko Rama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Naye Shauli akaenda huko Nayothi katika Rama. Alipofika huko, roho ya Mungu ilimjia, naye alianza kutabiri akiwa njiani mpaka alipofika Nayothi katika Rama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipokwenda Nayoti kule Rama, yeye naye roho ya Mungu ikamjia; ndipo, alipokwenda hapo njiani na kufumbua mambo, hata akifika Nayoti kule Rama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi akaenda Nayothi huko Rama, na roho ya Mungu ikamjilia yeye naye, akaendelea mbele, huku anatabiri, mpaka kufika Nayothi huko Rama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Naye Saulo akaenda kule Nayoti katika muji wa Rama. Alipofika kule, Roho wa Mungu akamufikia, naye alianza kutabiri akiwa katika njia mpaka alipofika Nayoti katika muji wa Rama.