1 Samuel 19:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nitakuja na kusimama karibu na baba yangu huko shambani mahali utakapokuwa. Hapo nitaongea naye juu yako, na kitu chochote nitakachogundua kutoka kwake, nitakueleza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitatoka na kukaa na baba yangu shambani mahali uliko. Nitazungumza naye juu yako, nami nitakueleza nitakachogundua.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na mimi nitatoka nje na kusimama kando ya babangu huko shambani ulipo wewe, nami nitazungumza na babangu habari zako; nami nikiona neno lo lote nitakuambia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nitakuja na kusimama karibu na baba yangu huko shambani mahali utakapokuwa. Hapo nitaongea naye juu yako, na kitu chochote nitakachogundua kutoka kwake, nitakueleza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitatoka na kukaa na baba yangu shambani mahali uliko. Nitazungumza naye juu yako nami nitakueleza nilichogundua.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitatoka na kukaa na baba yangu shambani mahali uliko. Nitazungumza naye juu yako, nami nitakueleza nitakachogundua.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na mimi nitatoka nje na kusimama kando ya babangu huko shambani ulipo wewe, nami nitazungumza na babangu habari zako; nami nikiona neno lolote nitakuambia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nitakuja na kusimama karibu na baba yangu huko shambani mahali utakapokuwa. Hapo nitaongea naye juu yako, na kitu chochote nitakachogundua kutoka kwake, nitakueleza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mimi nitatoka, nisimame kando yake baba yangu huko shambani, utakakokuwa, niseme na baba yangu kwa ajili yako, nipate habari za kukupasha wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na mimi nitatoka nje na kusimama kando ya babangu huko shambani ulipo wewe, nami nitazungumza na babangu habari zako; nami nikiona neno lo lote nitakuambia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nitakuja na kusimama karibu na baba yangu kule katika shamba pahali utakapokuwa. Pale nitaongea naye juu yako, na kitu chochote nitakachogundua kutoka kwake, nitakuelezea.”