1 Samuel 19:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alimsikiliza Yonathani, kisha akaapa, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, sitamuua Daudi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akamsikiliza Yonathani na kuapa hivi: “Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, Daudi hatauawa.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sauli akaisikiliza sauti ya Yonathani; naye Sauli akaapa, Aishivyo Bwana, yeye hatauawa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alimsikiliza Yonathani, kisha akaapa, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, sitamuua Daudi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akamsikiliza Yonathani na kuapa hivi: “Hakika kama BWANA aishivyo, Daudi hatauawa.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akamsikiliza Yonathani na kuapa hivi: “Hakika kama bwana aishivyo, Daudi hatauawa.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sauli akaisikiliza sauti ya Yonathani; naye Sauli akaapa, Aishivyo BWANA, yeye hatauawa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alimsikiliza Yonathani, kisha akaapa, “Naapa kwa Mwenyezi-Mungu aliye hai, sitamuua Daudi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akakiitikia kinywa cha Yonatani, yeye Sauli akaapa kwamba: Hivyo, Bwana alivyo Mwenye uzima, hatauawa kabisa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sauli akaisikiliza sauti ya Yonathani; naye Sauli akaapa, Aishivyo BWANA, yeye hatauawa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo alimusikiliza Yonatani, kisha akaapa: “Kama vile Yawe anavyoishi, sitamwua Daudi.”