1 Samuel 2:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, Elkana akarudi nyumbani Rama. Lakini mtoto Samueli akabaki Shilo kumtumikia Mwenyezi-Mungu chini ya uongozi wa kuhani Eli.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Elkana akaenda nyumbani Rama, lakini mtoto akahudumu mbele za Mwenyezi Mungu chini ya kuhani Eli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha Elkana akaenda Rama nyumbani kwake. Na yule mtoto akamtumikia Bwana mbele yake Eli, kuhani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, Elkana akarudi nyumbani Rama. Lakini mtoto Samueli akabaki Shilo kumtumikia Mwenyezi-Mungu chini ya uongozi wa kuhani Eli.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Elikana akaenda nyumbani Rama, lakini mtoto akahudumu mbele za BWANA chini ya kuhani Eli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Elikana akaenda nyumbani Rama, lakini mtoto akahudumu mbele za bwana chini ya kuhani Eli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha Elkana akaenda Rama nyumbani kwake. Na yule mtoto akamtumikia BWANA mbele yake Eli, kuhani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, Elkana akarudi nyumbani Rama. Lakini mtoto Samueli akabaki Shilo kumtumikia Mwenyezi-Mungu chini ya uongozi wa kuhani Eli.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Elkana akaenda Rama nyumbani kwake, lakini yule mtoto akawa akimtumikia Bwana machoni pake mtambikaji Eli.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha Elkana akaenda Rama nyumbani kwake. Na yule mtoto akamtumikia BWANA mbele yake Eli, kuhani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Elekana akarudi kwake Rama. Lakini mutoto Samweli akabaki Shilo kwa kumutumikia Yawe chini ya uongozi wa kuhani Eli.