1 Samuel 2:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wa kiume wa Eli walikuwa walaghai sana. Hawakumjali Mwenyezi-Mungu
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Eli walikuwa watu waovu kabisa, hawakumheshimu Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi, hao wana wa Eli walikuwa watu wasiofaa kitu; hawakumjali Bwana,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wa kiume wa Eli walikuwa walaghai sana. Hawakumjali Mwenyezi-Mungu
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Eli walikuwa watu wabaya kabisa, hawakumheshimu BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Eli walikuwa watu wabaya kabisa, hawakumheshimu bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi, hao wana wa Eli walikuwa watu wasiofaa kitu; hawakumjali BWANA,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wa kiume wa Eli walikuwa walaghai sana. Hawakumjali Mwenyezi-Mungu
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Eli walikuwa watu wasiofaa kabisa, hawakumjua Bwana,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi, hao wana wa Eli walikuwa watu wasiofaa kitu; hawakumjali BWANA,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Eli walikuwa wapotovu sana. Hawakumujali Yawe