1 Samuel 2:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wala juu ya vitu ambavyo watu walipaswa kuwapa makuhani. Kila mara mtu alipokuwa anatolea tambiko yake, mtumishi wa kuhani alikuja na uma wenye meno matatu; na wakati nyama ikiwa bado inachemka,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi ilikuwa desturi ya makuhani pamoja na watu kwamba kila mara yeyote anapotoa dhabihu na huku nyama ikiwa inachemshwa, mtumishi wa kuhani angekuja na uma wenye meno matatu mkononi mwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wala haki ya makuhani ilivyokuwa kwa watu. Wakati huo mtu ye yote alipotoa dhabihu wakati wo wote, ndipo huja mtumishi wa kuhani, nyama ilipokuwa katika kutokota, naye akawa na uma wa meno matatu mkononi mwake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wala juu ya vitu ambavyo watu walipaswa kuwapa makuhani. Kila mara mtu alipokuwa anatolea tambiko yake, mtumishi wa kuhani alikuja na uma wenye meno matatu; na wakati nyama ikiwa bado inachemka,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi ilikuwa desturi ya makuhani pamoja na watu kwamba kila mara ye yote anapotoa dhabihu na huku nyama ikiwa inachemshwa, mtumishi wa kuhani angalikuja na uma wenye meno matatu mkononi mwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi ilikuwa desturi ya makuhani pamoja na watu kwamba kila mara yeyote anapotoa dhabihu na huku nyama ikiwa inachemshwa, mtumishi wa kuhani angalikuja na uma wenye meno matatu mkononi mwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wala haki ya makuhani ilivyokuwa kwa watu. Wakati huo mtu yeyote alipotoa dhabihu wakati wowote, ndipo huja mtumishi wa kuhani, nyama ilipokuwa katika kutokota, naye akawa na uma wa meno matatu mkononi mwake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wala juu ya vitu ambavyo watu walipaswa kuwapa makuhani. Kila mara mtu alipokuwa anatolea tambiko yake, mtumishi wa kuhani alikuja na uma wenye meno matatu; na wakati nyama ikiwa bado inachemka,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wala haki za watambikaji, wala haki za watu: mtu ye yote alipotoa ng'ombe ya tambiko, nyama zilipotokota, mtumishi wa mtambikaji huja akishika mkononi uma mkubwa wenye michomo mitatu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wala haki ya makuhani ilivyokuwa kwa watu. Wakati huo mtu ye yote alipotoa dhabihu wakati wo wote, ndipo huja mtumishi wa kuhani, nyama ilipokuwa katika kutokota, naye akawa na uma wa meno matatu mkononi mwake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wala juu ya vitu ambavyo watu walipaswa kuwapa makuhani. Kila mara mutu alipokuwa anatolea sadaka yake, mutumishi wa kuhani alikuja na kanya yenye meno matatu; na wakati nyama ikiwa bado inatokota,