1 Samuel 2:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
huyo mtumishi aliuchomeka uma huo ndani ya chungu, nyama yoyote iliyotolewa humo na uma huo, ilikuwa mali ya kuhani. Waisraeli wote waliokwenda Shilo kutolea tambiko zao walitendewa hivyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Angeutumbukiza huo uma kwenye sufuria au birika au sufuria kubwa au chungu, naye kuhani angejichukulia chochote uma ungekileta. Hivi ndivyo walivyowatendea Waisraeli wote waliokuja Shilo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
naye huutia kwa nguvu humo chunguni, au birikani, au sufuriani, au chomboni; nyama yote iliyoinuliwa kwa huo uma kuhani huichukua mwenyewe. Ndivyo walivyofanya huko Shilo kwa Waisraeli wote waliokuja huko.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
huyo mtumishi aliuchomeka uma huo ndani ya chungu, nyama yoyote iliyotolewa humo na uma huo, ilikuwa mali ya kuhani. Waisraeli wote waliokwenda Shilo kutolea tambiko zao walitendewa hivyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Angeutumbukiza huo uma kwenye sufuria au birika au sufuria kubwa au chungu, naye kuhani angalijichukulia mwenyewe cho chote ambacho uma ungelikileta. Hivi ndivyo walivyowatendea Waisraeli wote waliokuja Shilo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Angeutumbukiza huo uma kwenye sufuria au birika au sufuria kubwa au chungu, naye kuhani angalijichukulia mwenyewe chochote ambacho uma ungekileta. Hivi ndivyo walivyowatendea Waisraeli wote waliokuja Shilo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
naye huutia kwa nguvu humo chunguni, au birikani, au sufuriani, au chomboni; nyama yote iliyoinuliwa kwa huo uma kuhani huichukua mwenyewe. Ndivyo walivyofanya huko Shilo kwa Waisraeli wote waliokuja huko.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
huyo mtumishi aliuchomeka uma huo ndani ya chungu, nyama yoyote iliyotolewa humo na uma huo, ilikuwa mali ya kuhani. Waisraeli wote waliokwenda Shilo kutolea tambiko zao walitendewa hivyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akakoroga nao chunguni au kaangoni au sufuriani au bakulini, nazo nyama zote, ule uma ulizozipandisha, mtambikaji huzichukua. Ndivyo, walivyowafanyizia Waisiraeli wote, wakija huko Silo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
naye huutia kwa nguvu humo chunguni, au birikani, au sufuriani, au chomboni; nyama yote iliyoinuliwa kwa huo uma kuhani huichukua mwenyewe. Ndivyo walivyofanya huko Shilo kwa Waisraeli wote waliokuja huko.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
huyo mutumishi alichomeka kanya ile ndani ya chungu, nyama yoyote inayonyanyuliwa na kanya ile ilikuwa mali ya kuhani. Waisraeli wote waliokwenda Shilo kutolea sadaka zao walitendewa hivyo.