1 Samuel 2:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Dhambi hii ya vijana hao wa Eli ilikuwa kubwa sana mbele ya Mwenyezi-Mungu. Maana, vijana hao walidharau matoleo ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii dhambi ya hawa vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa Mwenyezi Mungu, kwa kuwa waliitendea dhabihu ya Mwenyezi Mungu kwa dharau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivyo dhambi yao wale vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa Bwana; kwa maana hao watu walidharau sadaka ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Dhambi hii ya vijana hao wa Eli ilikuwa kubwa sana mbele ya Mwenyezi-Mungu. Maana, vijana hao walidharau matoleo ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii Dhambi ya hawa vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa BWANA, kwa kuwa waliitendea dhabihu ya BWANA kwa dharau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii Dhambi ya hawa vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa bwana, kwa kuwa waliitendea dhabihu ya bwana kwa dharau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivyo dhambi yao wale vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa BWANA; kwa maana hao watu walidharau sadaka ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Dhambi hii ya vijana hao wa Eli ilikuwa kubwa sana mbele ya Mwenyezi-Mungu. Maana, vijana hao walidharau matoleo ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo ukosaji wao hao vijana ukawa mkubwa sana machoni pake Bwana, kwani kwa hiyo watu wakavibeza vipaji vya tambiko, Bwana alivyotolewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivyo dhambi yao wale vijana ilikuwa kubwa sana machoni pa BWANA; kwa maana hao watu walidharau sadaka ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zambi hii ya vijana hao wa Eli ilikuwa kubwa sana mbele ya Yawe. Maana, vijana hao walizarau matoleo ya Yawe.