1 Samuel 2:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati huo, kijana Samueli aliendelea kumtumikia Mwenyezi-Mungu, akiwa amevaa kizibao cha kitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za Mwenyezi Mungu, kijana akivaa kizibau cha kitani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini Samweli alikuwa akitumika mbele za Bwana, naye alikuwa kijana, mwenye kuvaa naivera ya kitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati huo, kijana Samueli aliendelea kumtumikia Mwenyezi-Mungu, akiwa amevaa kizibao cha kitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za BWANA, kijana akivaa kisibau cha kitani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za bwana, kijana akivaa kisibau cha kitani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini Samweli alikuwa akitumika mbele za BWANA, naye alikuwa kijana aliyevaa naivera ya kitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati huo, kijana Samueli aliendelea kumtumikia Mwenyezi-Mungu, akiwa amevaa kizibao cha kitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtoto Samweli akamtumikia Bwana, akawa amevikwa kisibau cha mtambikaji cha nguo ya ukonge.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini Samweli alikuwa akitumika mbele za BWANA, naye alikuwa kijana, mwenye kuvaa naivera ya kitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakati ule, kijana Samweli aliendelea kumutumikia Yawe, akiwa amevaa kizibao cha kitani.