1 Samuel 2:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mwaka mama yake alimfumia vazi dogo, na kumpelekea alipokuwa akienda na mumewe kutolea tambiko ya kila mwaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila mwaka mama yake alimshonea joho dogo na kumpelekea alipokwea pamoja na mumewe kutoa dhabihu ya mwaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena mamaye humfanyizia kanzu ndogo, na kumletea mwaka kwa mwaka, hapo alipokwea pamoja na mumewe ili kutoa dhabihu kila mwaka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mwaka mama yake alimfumia vazi dogo, na kumpelekea alipokuwa akienda na mumewe kutolea tambiko ya kila mwaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila mwaka mama yake alimshonea joho dogo na kumchukulia wakati alipokwea pamoja na mumewe kutoa dhabihu ya mwaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila mwaka mama yake alimshonea joho dogo na kumchukulia wakati alipokwea pamoja na mumewe kutoa dhabihu ya mwaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena mamaye alimshonea kanzu ndogo, na kumletea kila mwaka, hapo alipokwea pamoja na mumewe ili kutoa dhabihu kila mwaka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mwaka mama yake alimfumia vazi dogo, na kumpelekea alipokuwa akienda na mumewe kutolea tambiko ya kila mwaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye mama yake akamshonea kanzu ndogo, akampelekea mwaka kwa mwaka, alipopanda na mumewe kutoa ng'ombe ya tambiko ya mwaka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena mamaye humfanyizia kanzu ndogo, na kumletea mwaka kwa mwaka, hapo alipokwea pamoja na mumewe ili kutoa dhabihu kila mwaka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mwaka mama yake alimufumia nguo ndogo, na kumupelekea alipokuwa akienda na mume wake kutolea sadaka ya kila mwaka.