1 Samuel 2:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
aliwauliza, “Kwa nini mnafanya mambo haya? Nasikia kutoka kwa watu wote juu ya maovu mnayoyafanya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivyo akawaambia, “Kwa nini mmefanya mambo kama haya? Nimesikia kutoka kwa watu wote kuhusu haya matendo yenu maovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akawaambia, Mbona mnatenda mambo kama hayo? Maana nasikia habari za matendo yenu mabaya kwa watu hawa wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
aliwauliza, “Kwa nini mnafanya mambo haya? Nasikia kutoka kwa watu wote juu ya maovu mnayoyafanya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hivyo akawaambia, “Kwa nini mmefanya mambo kama haya? Nimesikia kutoka kwa watu wote juu ya haya matendo yenu maovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hivyo akawaambia, “Kwa nini mmefanya mambo kama haya? Nimesikia kutoka kwa watu wote juu ya haya matendo yenu maovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akawaambia, Mbona mnatenda mambo kama hayo? Maana nasikia habari za matendo yenu mabaya kwa watu hawa wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
aliwauliza, “Kwa nini mnafanya mambo haya? Nasikia kutoka kwa watu wote juu ya maovu mnayoyafanya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
akawaambia: Mbona mnafanya mambo mabaya kama hayo, mimi ninayoyasikia na hawa watu wote, ya kuwa mnayafanya?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akawaambia, Mbona mnatenda mambo kama hayo? Maana nasikia habari za matendo yenu mabaya kwa watu hawa wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
aliwauliza: “Kwa nini munafanya mambo haya? Ninasikia kutoka kwa watu wote juu ya maovu munayoyafanya.