1 Samuel 2:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msifanye hivyo wanangu kwa sababu mambo hayo ninayoyasikia kutoka kwa watu wa Mwenyezi-Mungu ni mabaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sivyo, wanangu, hii si habari nzuri ninayosikia ikienea miongoni mwa watu wa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sivyo hivyo, wanangu, kwa maana habari hii ninayoisikia si habari njema; mnawakosesha watu wa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msifanye hivyo wanangu kwa sababu mambo hayo ninayoyasikia kutoka kwa watu wa Mwenyezi-Mungu ni mabaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sivyo, wanangu, hii si habari nzuri ambayo ninasikia ikienea miongoni mwa watu wa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sivyo, wanangu, hii si habari nzuri ambayo ninasikia ikienea miongoni mwa watu wa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sivyo hivyo, wanangu, kwa maana habari hii ninayoisikia si habari njema; mnawakosesha watu wa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msifanye hivyo wanangu kwa sababu mambo hayo ninayoyasikia kutoka kwa watu wa Mwenyezi-Mungu ni mabaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Msifanye hivyo wanangu! Kwani uvumi huu, ninaousikia mimi wa kuwakosesha watu wa Bwana, si mwema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sivyo hivyo, wanangu, kwa maana habari hii ninayoisikia si habari njema; mnawakosesha watu wa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musifanye hivyo wana wangu, kwa sababu mambo hayo ninayoyasikia kutoka kwa watu wa Yawe ni mabaya.