1 Samuel 2:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtoto Samueli aliendelea kukua, akazidi kupendwa na Mwenyezi-Mungu na watu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Naye kijana Samweli akaendelea kukua katika kimo, akimpendeza Mwenyezi Mungu na wanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na yule mtoto, Samweli, akazidi kukua akapata kibali kwa Bwana, na kwa watu pia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtoto Samueli aliendelea kukua, akazidi kupendwa na Mwenyezi-Mungu na watu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Naye kijana Samweli akaendelea kukua katika kimo, akimpendeza BWANA na wanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Naye kijana Samweli akaendelea kukua katika kimo, akimpendeza bwana na wanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na yule mtoto, Samweli, akazidi kukua akapata kibali kwa BWANA, na kwa watu pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtoto Samueli aliendelea kukua, akazidi kupendwa na Mwenyezi-Mungu na watu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini mtoto Samweli akaendelea kukua na kuwa mwema machoni pake Bwana, napo machoni pa watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na yule mtoto, Samweli, akazidi kukua akapata kibali kwa BWANA, na kwa watu pia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutoto Samweli aliendelea kukomaa, akazidi kupendwa na Yawe na watu.