1 Samuel 2:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Angalia siku zaja ambapo nitawaua vijana wote wa kiume katika jamaa yako na katika ukoo wako, hata hakutakuwa na mwanamume yeyote atakayeishi awe mzee.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati unakuja nitakapozipunguza nguvu zenu na nguvu ya nyumba ya baba yenu, ili pasiwepo mtu katika jamaa yenu atakayeishi kuuona uzee,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Angalia, siku zinakuja, nitakapoukata mkono wako, na mkono wa mbari ya baba yako, hata nyumbani mwako hatakuwako mzee.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Angalia siku zaja ambapo nitawaua vijana wote wa kiume katika jamaa yako na katika ukoo wako, hata hakutakuwa na mwanamume yeyote atakayeishi awe mzee.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati unakuja nitakapozipunguza nguvu zenu na nguvu ya nyumba ya baba yenu, ili pasiwepo mtu katika mbari yenu atakayeishi kuuona uzee
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati unakuja nitakapozipunguza nguvu zenu na nguvu ya nyumba ya baba yenu, ili pasiwepo mtu katika mbari yenu atakayeishi kuuona uzee
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Angalia, siku zinakuja, nitakapoukata mkono wako, na mkono wa watu wa ukoo wa baba yako, hata nyumbani mwako hapatakuwako mzee.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Angalia siku zaja ambapo nitawaua vijana wote wa kiume katika jamaa yako na katika ukoo wako, hata hakutakuwa na mwanamume yeyote atakayeishi awe mzee.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utaona, siku zikija, nitakapoukata mkono wako nayo mikono yao walio wa mlango wa baba yako, asipatikane mzee katika mlango wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Angalia, siku zinakuja, nitakapoukata mkono wako, na mkono wa mbari ya baba yako, hata nyumbani mwako hatakuwako mzee.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia siku zinakuja ambapo nitawaua vijana wote wanaume katika jamaa yako na katika ukoo wako, hata hakutakuwa mwanaume yeyote atakayeishi na kuwa muzee.