1 Samuel 2:32 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakuwa na wasiwasi na utawaonea wenzio kijicho kwa zile baraka zote ambazo nitawapa watu wengine wa Israeli, lakini hakuna mtu katika jamaa yako atakayeishi na kuwa mzee.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
nanyi mtaona huzuni katika makao yangu. Ingawa Israeli watatendewa mema, katika jamaa yenu kamwe hapatakuwa na mtu atakayeishi hadi kuwa mzee.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utalitazama teso la maskani yangu, katika utajiri wote watakaopewa Israeli; wala nyumbani mwako hatakuwako mzee milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakuwa na wasiwasi na utawaonea wenzio kijicho kwa zile baraka zote ambazo nitawapa watu wengine wa Israeli, lakini hakuna mtu katika jamaa yako atakayeishi na kuwa mzee.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nanyi mtaona huzuni katika makao yangu. Ingawa Israeli watafanyiwa mema, katika mbari yenu kamwe hapatakuwepo mtu atakayeishi hadi kuwa mzee.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
nanyi mtaona huzuni katika makao yangu. Ingawa Israeli watafanyiwa mema, katika mbari yenu kamwe hapatakuwepo mtu atakayeishi hadi kuwa mzee.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utayatazama mateso ya maskani yangu, katika utajiri wote watakaopewa Israeli; wala nyumbani mwako hapatakuwako mzee milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakuwa na wasiwasi na utawaonea wenzio kijicho kwa zile baraka zote ambazo nitawapa watu wengine wa Israeli, lakini hakuna mtu katika jamaa yako atakayeishi na kuwa mzee.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, utakapoutazama ukiwa wa kao lako ukiona mema yote, atakayowafanyizia Waisiraeli, kwani siku hizo zote hatakuwapo mzee katika mlango wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utalitazama teso la maskani yangu, katika utajiri wote watakaopewa Israeli; wala nyumbani mwako hatakuwako mzee milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakuwa na wasiwasi na utawaonea wenzako wivu kwa zile baraka zote ambazo nitawapa watu wengine wa Israeli, lakini hakuna mutu katika jamaa yako atakayeishi na kuwa muzee.