1 Samuel 2:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Pinde za wenye nguvu zimevunjika. Lakini wadhaifu wanaendelea kupata nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Pinde za mashujaa zimevunjika, lakini wale wanaojikwaa wamevikwa nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pinde zao mashujaa zimevunjika, Na hao waliojikwaa wamefungiwa nguvu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Pinde za wenye nguvu zimevunjika. Lakini wadhaifu wanaendelea kupata nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Pinde za mashujaa zimevunjika, lakini wale wanaojikwaa wamevikwa nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Pinde za mashujaa zimevunjika, lakini wale wanaojikwaa wamevikwa nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pinde zao mashujaa zimevunjika, Na hao waliojikwaa wamepata nguvu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Pinde za wenye nguvu zimevunjika. Lakini wadhaifu wanaendelea kupata nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Pindi za mafundi wa vita huvunjika, lakini waliokwazwa hujivika nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pinde zao mashujaa zimevunjika, Na hao waliojikwaa wamefungiwa nguvu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Pinde za wenye nguvu, zimevunjika. Lakini wazaifu wanaendelea kupata nguvu.