1 Samuel 2:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huua na hufufua; yeye huwashusha chini kuzimu naye huwarudisha tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Mwenyezi Mungu huua na huhuisha; yeye hushusha hadi kaburini na hufufua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana huua, naye hufanya kuwa hai; Hushusha hata kuzimu, tena huleta juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huua na hufufua; yeye huwashusha chini kuzimu naye huwarudisha tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“BWANA huua na huleta uhai, hushusha chini mpaka kaburini na kufufua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“ bwana huua na huleta uhai, hushusha chini mpaka kaburini na hufufua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA huua, naye hufanya kuwa hai; Hushusha hadi kuzimu, tena huleta juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huua na hufufua; yeye huwashusha chini kuzimu naye huwarudisha tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana huua, naye hurudisha uzimani, yeye hushusha kuzimuni, tena hupaza juu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA huua, naye hufanya kuwa hai; Hushusha hata kuzimu, tena huleta juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anaua na kufufua, yeye anawashusha katika kuzimu naye anawarudisha tena.