1 Samuel 2:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huwafanya baadhi wawe maskini, na baadhi wawe matajiri. Wengine huwashusha, na wengine huwakweza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu humfanya mtu maskini naye hutajirisha, hushusha na hukweza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana hufukarisha mtu, naye hutajirisha; Hushusha chini, tena huinua juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huwafanya baadhi wawe maskini, na baadhi wawe matajiri. Wengine huwashusha, na wengine huwakweza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA humfanya mtu maskini naye hutajirisha, hushusha na hukweza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha, hushusha na hukweza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA hufukarisha mtu, na hutajirisha; Hushusha chini, tena huinua juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huwafanya baadhi wawe maskini, na baadhi wawe matajiri. Wengine huwashusha, na wengine huwakweza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana wengine huwakosesha mali, wengine huwazidishia, hunyenyekeza, tena hukuza;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA hufukarisha mtu, naye hutajirisha; Hushusha chini, tena huinua juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe anawafanya wamoja wakuwe wamasikini, na wengine wakuwe watajiri. Anawashusha wamoja, na kuwainua wengine.