1 Samuel 20:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Daudi akauliza, “Nitajuaje ikiwa baba yako atakujibu kwa ukali?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Daudi akamuuliza Yonathani, “Je, nani atakayeniambia kama baba yako atakujibu kwa ukali?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Daudi akamwambia Yonathani, Ni nani atakayeniambia, ikiwa baba yako amekujibu maneno makali?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Daudi akauliza, “Nitajuaje ikiwa baba yako atakujibu kwa ukali?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Daudi akamwuliza, “Je, nani atakayeniambia kama baba yako atakujibu kwa ukali?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Daudi akamuuliza, “Je, nani atakayeniambia kama baba yako atakujibu kwa ukali?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Daudi akamwambia Yonathani, Ni nani atakayeniambia, ikiwa baba yako amekujibu maneno makali?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Daudi akauliza, “Nitajuaje ikiwa baba yako atakujibu kwa ukali?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Dawidi akamwuliza Yonatani: Ni nani atakayenipasha habari, kama baba yako amekujibu neno gumu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Daudi akamwambia Yonathani, Ni nani atakayeniambia, ikiwa baba yako amekujibu maneno makali?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Daudi akauliza: “Nitajua namna gani ikiwa baba yako atakujibu kwa ukali?”