1 Samuel 20:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yonathani akamjibu, “Njoo twende shambani!” Basi, wakaenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yonathani akamwambia, “Njoo, twende shambani.” Basi wakaenda huko pamoja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yonathani akamwambia Daudi, Twende zetu nje mashambani. Wakatoka wote wawili, wakaenda mashambani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yonathani akamjibu, “Njoo twende shambani!” Basi, wakaenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yonathani akamwambia; “Njoo, twende shambani.” Basi wakaenda huko pamoja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yonathani akamwambia, “Njoo, twende shambani.” Basi wakaenda huko pamoja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yonathani akamwambia Daudi, Twende zetu nje mashambani. Wakatoka wote wawili, wakaenda mashambani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yonathani akamjibu, “Njoo twende shambani!” Basi, wakaenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yonatani akamwambia Dawidi: Haya! Tutoke hapa kwenda shambani! Wakatoka wote wawili kwenda shambani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yonathani akamwambia Daudi, Twende zetu nje mashambani. Wakatoka wote wawili, wakaenda mashambani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yonatani akamujibu: “Kuja tuende ndani ya shamba!” Basi, wakaenda.