1 Samuel 20:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ikiwa nitaendelea kuwa hai basi, nioneshe ule upendo thabiti wa Mwenyezi-Mungu, ili nisife,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini nitendee wema usiokoma kama ule wa Mwenyezi Mungu siku zote za maisha yangu, ili nisije nikauawa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utanionyesha fadhili za Bwana, ili nisife, si wakati huu tu maadamu mimi ni hai;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ikiwa nitaendelea kuwa hai basi, nioneshe ule upendo thabiti wa Mwenyezi-Mungu, ili nisife,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini nitendee wema usiokoma kama ule wa BWANA siku zote za maisha yangu, ili nisije nikauawa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini nitendee wema usiokoma kama ule wa bwana siku zote za maisha yangu, ili nisije nikauawa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utanionesha fadhili za BWANA, ili nisife, si wakati huu tu maadamu mimi ni hai;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ikiwa nitaendelea kuwa hai basi, nioneshe ule upendo thabiti wa Mwenyezi-Mungu, ili nisife,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini nawe usinifanyie huruma ya Bwana siku hizi tu, nikiwa nipo bado, nisipate kufa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utanionyesha fadhili za BWANA, ili nisife, si wakati huu tu maadamu mimi ni hai;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ikiwa nitaendelea kuishi basi, unionyeshe wema wa Yawe, kusudi nisikufe,