1 Samuel 20:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
tena usiache kuitendea jamaa yangu kwa uaminifu milele. Na Mwenyezi-Mungu atakapowakatilia mbali adui zako kutoka duniani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wala usiuondoe wema wako kwa jamaa yangu, hata kama ni wakati ule Mwenyezi Mungu atakapokuwa amekatilia mbali kila adui wa Daudi kutoka uso wa dunia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
lakini pamoja na hayo, hata jamaa yangu pia hutawaondolea kabisa fadhili zako; la, hata wakati ule Bwana atakapokuwa amewaondoa kabisa adui za Daudi wote pia katika uso wa nchi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
tena usiache kuitendea jamaa yangu kwa uaminifu milele. Na Mwenyezi-Mungu atakapowakatilia mbali adui zako kutoka duniani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wala usiuondoe wema wako kwa jamaa yangu, hata kama ni wakati ule BWANA atakapokuwa amekatilia mbali kila adui wa Daudi kutoka kwenye uso wa dunia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wala usiuondoe wema wako kwa jamaa yangu, hata kama ni wakati ule bwana atakapokuwa amekatilia mbali kila adui wa Daudi kutoka kwenye uso wa dunia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
lakini pamoja na hayo, hata jamaa yangu pia hutawaondolea kabisa fadhili zako; la, hata wakati ule BWANA atakapokuwa amewaondoa kabisa adui za Daudi wote pia katika uso wa nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
tena usiache kuitendea jamaa yangu kwa uaminifu milele. Na Mwenyezi-Mungu atakapowakatilia mbali adui zako kutoka duniani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ila nao mlango wangu usiunyime huruma yako kale na kale, hata hapo, Bwana atakapowatowesha wachukivu wa Dawidi, kila mtu mahali pake juu ya nchi hii!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
lakini pamoja na hayo, hata jamaa yangu pia hutawaondolea kabisa fadhili zako; la, hata wakati ule BWANA atakapokuwa amewaondoa kabisa adui za Daudi wote pia katika uso wa nchi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
tena usiache kuitendea jamaa yangu kwa uaminifu milele. Na Yawe atakapowateketeza waadui zako kutoka katika dunia,