1 Samuel 20:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
naomba na jina langu lisikatiliwe mbali kutoka jamaa yako. Mwenyezi-Mungu awalipize kisasi adui zako.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yonathani akafanya agano na nyumba ya Daudi, akisema: “Mwenyezi Mungu na awaangamize adui za Daudi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yonathani akafanya agano na jamaa yake Daudi, akisema, Bwana naye atayataka mkononi mwa adui zake Daudi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
naomba na jina langu lisikatiliwe mbali kutoka jamaa yako. Mwenyezi-Mungu awalipize kisasi adui zako.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yonathani akafanya agano na nyumba ya Daudi, akisema: “BWANA na awaangamize adui za Daudi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yonathani akafanya agano na nyumba ya Daudi, akisema: “ bwana na awaangamize adui za Daudi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yonathani akafanya agano na jamaa yake Daudi, akisema, BWANA na awalipize kisasi adui zake Daudi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
naomba na jina langu lisikatiliwe mbali kutoka jamaa yako. Mwenyezi-Mungu awalipize kisasi adui zako.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndivyo, Yonatani alivyoagana na mlango wa Dawidi akisema: Bwana na awalipishe wachukivu wa Dawidi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yonathani akafanya agano na jamaa yake Daudi, akisema, BWANA naye atayataka mkononi mwa adui zake Daudi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ninaomba jina langu lisikatiliwe kabisa kutoka katika jamaa yako. Yawe awalipize kisasi waadui zako.”